Siku mpya ni nafasi mpya ya kuanza safari yako ya kupunguza uzito na kuanza kuishi maisha ya afya. Makala ya leo ina meal plan ya siku 7 ambayo itakusaidia kupunguza kuanzia kilo 3-5 kutokana...
Diet ya vyakula vibichi haikuwa inafahamika sana hapo zamani lakini katika miaka ya hivi karibuni imepata umaarufu mkubwa sana duniani kutokana na watu wengi kutoa shuhuda za kupunguza uzito mkubwa sana kwa kuifata. Diet...
Hello!
Ninaitwa Gigi, baada ya kuhangaika kwa miaka mingi sana kutokana madhara ya kuwa na uzito uliopindukia niliamua kubadilisha maisha yangu na kuanza kujifunza kwa undani zaidi jinsi ya kupunguza uzito na kuishi maisha ya afya.
Kwa miaka mitano nimekuwa nikiandika makala mbalimbali kuhusu ya uzito wa mwili lakini baada ya kugundua kuwepo pengo kubwa katika elimu ya kupunguza uzito wa mwili kwa lugha ya Kiswahili mtandaoni nikaamua kuanzisha blog hii ili kuhakikisha kila mtu anaweza kujifunza bila kizuizi cha lugha.
COMMENTS MPYA!