Vyakula vya diet vinasikika sana kuwa na gharama kubwa hivyo kupelekea watu wengi kusita kuanza diet za kupunguza uzito wakihofia kumaliza hela. Kwanza kabisa maana sahihi ya neno ‘diet‘ ni kila kitu mtu anachokula...
Diet ya mayai ni aina nyingine ya diet fupi inayofahamika sana katika kupunguza uzito. Kama kawaida kwa diet zote fupi, hii pia imeundwa kwa ajili ya kusaidia kupunguza uzito mkubwa pale unapokuwa na dharura....
Kundi la watu ambao hupata changamoto zaidi katika kupunguza uzito ni wanafunzi wanaoishi kwenye hostel. Vyuo vingi haviruhusu wanafunzi kupika vyakula vyao hivyo kusababisha wengi wao kuishia kutegemea kununua vyakula ambavyo mara nyingi haviendani na misingi ya afya ya lishe.
Hello!
Ninaitwa Gigi, baada ya kuhangaika kwa miaka mingi sana kutokana madhara ya kuwa na uzito uliopindukia niliamua kubadilisha maisha yangu na kuanza kujifunza kwa undani zaidi jinsi ya kupunguza uzito na kuishi maisha ya afya.
Kwa miaka mitano nimekuwa nikiandika makala mbalimbali kuhusu ya uzito wa mwili lakini baada ya kugundua kuwepo pengo kubwa katika elimu ya kupunguza uzito wa mwili kwa lugha ya Kiswahili mtandaoni nikaamua kuanzisha blog hii ili kuhakikisha kila mtu anaweza kujifunza bila kizuizi cha lugha.
COMMENTS MPYA!