Baada ya kuona jinsi bia zinavyotengenezwa kupitia sehemu ya kwanza sasa utatambua kwanini bia hudhaniwa kusababisha kuongezeka kwa unene wa mwili hasa tumbo. Bonyeza HAPA kama umekosa sehemu ya kwanza. BIA ZINASABABISHAJE KUONGEZEKA UZITO?...
Ni jambo linaloaminiwa na watu wengi dunia nzima kuwa unywaji wa bia ndiyo unaosababisha kuongezeka kwa ukubwa wa tumbo hasa kwa wanaume. Lakini je kuna ukweli wowote katika madai haya? Bia ina kitu ndani yake ambacho husababisha kuongezeka kwa mafuta tumboni?.
Hello!
Ninaitwa Gigi, baada ya kuhangaika kwa miaka mingi sana kutokana madhara ya kuwa na uzito uliopindukia niliamua kubadilisha maisha yangu na kuanza kujifunza kwa undani zaidi jinsi ya kupunguza uzito na kuishi maisha ya afya.
Kwa miaka mitano nimekuwa nikiandika makala mbalimbali kuhusu ya uzito wa mwili lakini baada ya kugundua kuwepo pengo kubwa katika elimu ya kupunguza uzito wa mwili kwa lugha ya Kiswahili mtandaoni nikaamua kuanzisha blog hii ili kuhakikisha kila mtu anaweza kujifunza bila kizuizi cha lugha.
COMMENTS MPYA!