Tagged: namna ya kupunguza uzito wa mwili

10

DIET YA MAYAI YA KUPUNGUZA UZITO KWA SIKU 7

Diet ya mayai ni aina nyingine ya diet fupi inayofahamika sana katika kupunguza uzito. Kama kawaida kwa diet zote fupi, hii pia imeundwa kwa ajili ya kusaidia kupunguza uzito mkubwa pale unapokuwa na dharura....

1

MAKOSA MAKUBWA 5 YANAYOKUFANYA USIPUNGUE UZITO

Kuna baadhi ya watu wanafanya diet na mazoezi kila kukicha halafu aidha hawapungui au wanaongezeka na kupungua kilo zile zile miaka nenda rudi! Mmoja kati ya watu hawa alikuwa ni mimi kusema kweli  Katika...

50

NJIA 3 ZA KUPUNGUZA TUMBO HARAKA.

Kuna njia nyingi za kupunguza uzito haraka lakini nyingi huwa zinakulazimisha ukae na njaa siku nzima hadi unajisikia kukata tamaa!. Hii ni njia rahisi zaidi kwa sababu una uwezo wa kula ukashiba na kukifurahia chakula.

18

NJIA 10 ZA KUPUNGUZA UNENE BILA DIET WALA MAZOEZI.

Kwa wale ambao kutokana na sababu moja au nyingine kama za kiafya wanashindwa kufata mfumo fulani wa diet au mazoezi msikate tamaa, kupungua bila mazoezi au diet maalum inawezekana