Tagged: kupunguza unene

0

USIANZE DIET YOYOTE KABLA HAUJAFUATA HIZI HATUA 5

1. PATA USHAURI WA DAKTARI. Mfano wa matatizo ya kiafya yanayosababishwa na uzito uliopitiliza ni kama ugonjwa wa ini unaosababishwa na mafuta yaliyopitiliza, colesterol, pressure ya kupanda, matatizo ya miungio (joints) n.k Kama umefikia...

18

NJIA 10 ZA KUPUNGUZA UNENE BILA DIET WALA MAZOEZI.

Kwa wale ambao kutokana na sababu moja au nyingine kama za kiafya wanashindwa kufata mfumo fulani wa diet au mazoezi msikate tamaa, kupungua bila mazoezi au diet maalum inawezekana