Nadhani ni sahihi kwa mimi kusema kuwa umefikia katika makala hii kwasababu haufurahishwi na ukubwa wa tumbo lako na unatamani sana kulipunguza. Kwanza kabisa kama mtu ambaye nimefanikiwa kupunguza tumbo langu kwa kiasi kikubwa...
Diet ya mayai ni aina nyingine ya diet fupi inayofahamika sana katika kupunguza uzito. Kama kawaida kwa diet zote fupi, hii pia imeundwa kwa ajili ya kusaidia kupunguza uzito mkubwa pale unapokuwa na dharura....
Kula sana ni moja ya vikwazo vikubwa vinavyofanya watu wengi washindwe kufata diet za kupunguza uzito wa mwili. Hii inaweza kuwa kwasababu ya mfuko wa tumbo kuwa flexible zaidi kutanuka kutokana na miaka na...
Kwa wale ambao kutokana na sababu moja au nyingine kama za kiafya wanashindwa kufata mfumo fulani wa diet au mazoezi msikate tamaa, kupungua bila mazoezi au diet maalum inawezekana
Hello!
Ninaitwa Gigi, baada ya kuhangaika kwa miaka mingi sana kutokana madhara ya kuwa na uzito uliopindukia niliamua kubadilisha maisha yangu na kuanza kujifunza kwa undani zaidi jinsi ya kupunguza uzito na kuishi maisha ya afya.
Kwa miaka mitano nimekuwa nikiandika makala mbalimbali kuhusu ya uzito wa mwili lakini baada ya kugundua kuwepo pengo kubwa katika elimu ya kupunguza uzito wa mwili kwa lugha ya Kiswahili mtandaoni nikaamua kuanzisha blog hii ili kuhakikisha kila mtu anaweza kujifunza bila kizuizi cha lugha.
COMMENTS MPYA!