MAZOEZI YA KUPUNGUZA UZITO NDANI YA WIKI 6 KWA KINA MAMA
Ndani ya wiki sita mwili wako utakuwa umepiga hatua kubwa kuelekea kurudi kwenye saizi yake ya mwanzo! Usikose kufanya mazoezi kwa kufuatilia mlolongo wa kwenye kitabu
Ndani ya wiki sita mwili wako utakuwa umepiga hatua kubwa kuelekea kurudi kwenye saizi yake ya mwanzo! Usikose kufanya mazoezi kwa kufuatilia mlolongo wa kwenye kitabu
Ili kuondoa ukubwa wa tumbo baada ya kujifungua kwanza kabisa ni muhimu kuanza kula chakula ipasavyo ili kuweze kupata virutubisho vya kutosha kwa ajili ya mwili wako.Ukizingatia aina ya vyakula unavyohitaji kula pamoja na...
Kila mwanamke hutamani mwili wake urudi katika size uliokuwa kabla ya ujauzito haraka iwezekanavyo. Hii inapelekea wamama wengi kuanza kutafiti kuhusu mbinu mbalimbali za kupunguza uzito mara tu baada ya kujifungua. Ingawa hili ni...
COMMENTS MPYA!