AINA KUU ZA DIET ZA KUPUNGUZA UZITO.
SOMA HII KABLA HAUJAANZA KUFATA DIET YOYOTE YA KUPUNGUZA MWILI!
SOMA HII KABLA HAUJAANZA KUFATA DIET YOYOTE YA KUPUNGUZA MWILI!
Ndani ya wiki sita mwili wako utakuwa umepiga hatua kubwa kuelekea kurudi kwenye saizi yake ya mwanzo! Usikose kufanya mazoezi kwa kufuatilia mlolongo wa kwenye kitabu
Hizi ni zile bia zilizopunguzwa kiasi cha kileo na wanga kwa ajili ya watu ambao wanataka kupunguza kiasi cha pombe wanachotumia aU uzito wa mwili. Calories zake ni chini ya 100 na wanga kidogo hivyo unaweza kutumia bila kuharibu diet…
Zipo njia ambazo ni rahisi tu zinazoweza kukupa nafasi ya kuwa na mwanzo mzuri katika safari yako ya kupunguza uzito. Kama lengo lako ni kupunguza uzito wa kilo 20 basi kilo 8 kati ya hizo zitapungua kupitia wewe kufata style hii ya kuongeza lita hizi za maji na kuzigawa mara tatu kila siku!.
ili kupunguza tumbo haraka zaidi kupitia mazoezi haya fanya angalau seti 2 siku 3-4 kwa wiki ikiambatana na kubadilisha mfumo wa ulaji wa chakula.
COMMENTS MPYA!