Nadhani ni sahihi kwa mimi kusema kuwa umefikia katika makala hii kwasababu haufurahishwi na ukubwa wa tumbo lako na unatamani sana kulipunguza. Kwanza kabisa kama mtu ambaye nimefanikiwa kupunguza tumbo langu kwa kiasi kikubwa...
Ndani ya wiki sita mwili wako utakuwa umepiga hatua kubwa kuelekea kurudi kwenye saizi yake ya mwanzo! Usikose kufanya mazoezi kwa kufuatilia mlolongo wa kwenye kitabu
Kila mwanamke hutamani mwili wake urudi katika size uliokuwa kabla ya ujauzito haraka iwezekanavyo. Hii inapelekea wamama wengi kuanza kutafiti kuhusu mbinu mbalimbali za kupunguza uzito mara tu baada ya kujifungua. Ingawa hili ni...
Hello!
Ninaitwa Gigi, baada ya kuhangaika kwa miaka mingi sana kutokana madhara ya kuwa na uzito uliopindukia niliamua kubadilisha maisha yangu na kuanza kujifunza kwa undani zaidi jinsi ya kupunguza uzito na kuishi maisha ya afya.
Kwa miaka mitano nimekuwa nikiandika makala mbalimbali kuhusu ya uzito wa mwili lakini baada ya kugundua kuwepo pengo kubwa katika elimu ya kupunguza uzito wa mwili kwa lugha ya Kiswahili mtandaoni nikaamua kuanzisha blog hii ili kuhakikisha kila mtu anaweza kujifunza bila kizuizi cha lugha.
COMMENTS MPYA!