Tagged: jinsi ya kujua kama una kiribatumbo

2

JINSI YA KUJUA KAMA UNA UZITO ULIOPITILIZA AU OBESITY

Kisayansi tunatumia kipimo kinachoitwa BMI (Body Mass Index) ili kufahamu kama uzito wako unaendana na mahitaji ya mwili wako au la. Katika kipimo hiki tunapima uzito katika Kilogram na urefu katika Mita (Metres) katika...