Tagged: JINSI UNENE UNAVYOSABABISHA TATIZO LA SHINIKIZO LA DAMU NA MSHTUKO WA MOYO

2

JINSI UNENE UNAVYOSABABISHA SHINIKIZO LA DAMU NA MSHTUKO WA MOYO

Tafiti zinaonesha kuwa watu wenye mafuta mengi tumboni/kitambi (Central obesity) wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata matatizo haya ya moyo na mzunguko wa damu. Mojawapo ya sababu ni kwamba mafuta hukandamiza organs zilizopo tumboni hasa figo ambazo