Tagged: gigi maenda

0

JINSI YA KUEPUKANA NA KITAMBI CHA BIA: SEHEMU YA 3

Hizi ni zile bia zilizopunguzwa kiasi cha kileo na wanga kwa ajili ya watu ambao wanataka kupunguza kiasi cha pombe wanachotumia aU uzito wa mwili. Calories zake ni chini ya 100 na wanga kidogo hivyo unaweza kutumia bila kuharibu diet…

0

NI KWELI BIA ZINASABABISHA KITAMBI?: SEHEMU YA 2

Baada ya kuona jinsi bia zinavyotengenezwa kupitia sehemu ya kwanza sasa utatambua kwanini bia hudhaniwa kusababisha kuongezeka kwa unene wa mwili hasa tumbo. Bonyeza HAPA kama umekosa sehemu ya kwanza. BIA ZINASABABISHAJE KUONGEZEKA UZITO?...

jinsi ya kupunguza tumbo kwa kunywa maji 0

JINSI YA KUPUNGUZA UZITO KWA KUNYWA MAJI

Zipo njia ambazo ni rahisi tu zinazoweza kukupa nafasi ya kuwa na mwanzo mzuri katika safari yako ya kupunguza uzito. Kama lengo lako ni kupunguza uzito wa kilo 20 basi kilo 8 kati ya hizo zitapungua kupitia wewe kufata style hii ya kuongeza lita hizi za maji na kuzigawa mara tatu kila siku!.

Detox water kupunguza uzito au tumbo 0

DETOX WATER ZINAPUNGUZA UZITO KWELI AU?

Link za tafiti za kisayansi zimeandikwa kwa mfumo wa namba 1-6 Detox water ni maji ya kunywa ambayo hutengeneza kwa kuloweka vipande vya matunda, mboga mboga, majani ya miti shamba au viungo vya kupikia...

0

JINSI YA KUPUNGUZA UZITO HARAKA KWA KULA VYAKULA VIBICHI.

Diet ya vyakula vibichi haikuwa inafahamika sana hapo zamani lakini katika miaka ya hivi karibuni imepata umaarufu mkubwa sana duniani kutokana na watu wengi kutoa shuhuda za kupunguza uzito mkubwa sana kwa kuifata. Diet...

2

JINSI YA KUPUNGUZA UZITO KWA KUNYWA GREEN TEA

ili kupunguza uzito haraka kwa kutumia green tea lazima ufate kanuni zifuatazo zitakazosaidia mwili wako kutumia vichocheo vilivyopo kwenye majani haya ya chai kuyeyusha mafuta kiurahisi na kupelekea kupunguza uzito.

2

JINSI YA KUJUA KAMA UNA UZITO ULIOPITILIZA AU OBESITY

Kisayansi tunatumia kipimo kinachoitwa BMI (Body Mass Index) ili kufahamu kama uzito wako unaendana na mahitaji ya mwili wako au la. Katika kipimo hiki tunapima uzito katika Kilogram na urefu katika Mita (Metres) katika...

2

JINSI UNENE UNAVYOSABABISHA SHINIKIZO LA DAMU NA MSHTUKO WA MOYO

Tafiti zinaonesha kuwa watu wenye mafuta mengi tumboni/kitambi (Central obesity) wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata matatizo haya ya moyo na mzunguko wa damu. Mojawapo ya sababu ni kwamba mafuta hukandamiza organs zilizopo tumboni hasa figo ambazo