DIET YA MATANGO YA KUPUNGUZA UZITO HARAKA
Diet ya matango ni diet fupi ambayo lengo lake ni kukusaidia kupunguza uzito mkubwa ndani ya muda mfupi. Diet za aina hii hutakiwa kutumiwa kama hatua ya dharura tu na sio ya muda mrefu....
Diet ya matango ni diet fupi ambayo lengo lake ni kukusaidia kupunguza uzito mkubwa ndani ya muda mfupi. Diet za aina hii hutakiwa kutumiwa kama hatua ya dharura tu na sio ya muda mrefu....
Ukwaju una asidi inayojulikana kama Hydroxycitric acid (HCA).
Hii husaidia kupunguza uzito kwa kupunguza hamu ya kula hivyo kukuzuia kula kiasi kikubwa sana cha chakula kuliko mahitaji ya mwili wako.
Tafiti nyingi za kisayansi zimeonesha kuwa watu wanakunywa mtindi asubuhi wameonekana kupunguza uzito zaidi kuliko wale wasiokunywa.
Ni kweli siku njema huanza asubuhi. Hata katika harakati za kupunguza uzito hatua unazozichukua asubuhi ndiyo huamua siku yako itakuwa na mafanikio au la. Mara nyingi watu wanaofanikiwa katika safari zao za kupunguza uzito...
Kundi la watu ambao hupata changamoto zaidi katika kupunguza uzito ni wanafunzi wanaoishi kwenye hostel. Vyuo vingi haviruhusu wanafunzi kupika vyakula vyao hivyo kusababisha wengi wao kuishia kutegemea kununua vyakula ambavyo mara nyingi haviendani na misingi ya afya ya lishe.
Wengi tunawafamu watu ambao tunawaona wanakula sana tena kuzidi hata tunavyokula sisi ila hawanenepi hata kidogo! Inadhaniwa kuwa watu hawa wamezaliwa na uwezo wa kuwa wembamba na wenye afya maisha yao yote lakini ukweli ni kwamba…
SOMA HII KABLA HAUJAANZA KUFATA DIET YOYOTE YA KUPUNGUZA MWILI!
Sehemu hii ya pili ni muhimu kwako kama umewahi kupatwa na tatizo hili la kuongezeka uzito kila baada ya kupungua. Ukifata dondoo hizi basi kuwa na uhakika kuwa hautakuja kupata shida ya kuongezeka uzito kila baada ya kupungua
Baada ya kupunguza uzito mwili wako automatically utaanza kukulazimu kula chakula kingi ili kulipizia virutubisho vilivyokosa wakati unafata aina hizi za diet kwa hiyo kukufanya kurudia uzito wako wa kawaida
Ndani ya wiki sita mwili wako utakuwa umepiga hatua kubwa kuelekea kurudi kwenye saizi yake ya mwanzo! Usikose kufanya mazoezi kwa kufuatilia mlolongo wa kwenye kitabu
COMMENTS MPYA!