DIET YA SUPU YA KABICHI YA KUPUNGUZA UZITO!
Diet ya supu ya kabichi ni aina ya diet ambayo imeundwa kwa ajili ya kusaidia kupunguza uzito kwa muda mfupi wa wiki moja tu.Hii ni diet ya kufatwa kwa siku 7 na kila siku ina mwongozo wake wa jinsi ya kula.
COMMENTS MPYA!