RATIBA YA DIET YA KUPUNGUZA UZITO WA KILO 3-5 KWA SIKU 7.

Siku mpya ni nafasi mpya ya kuanza safari yako ya kupunguza uzito na kuanza kuishi maisha ya afya. Makala ya leo ina meal plan ya siku 7 ambayo itakusaidia kupunguza kuanzia kilo 3-5 kutokana na uzito ulioanzia.

Kama kuna kitu kwenye menu hauwezi kukipata unaweza kubadilisha ukatumia kingine au ukaacha kabisa.

Ni vizuri kuwa na mzani mdogo wa chakula ili kuweza kufatisha meal plan hii kwa usahihi zaidi. Kama hauna mzani wa chakula basi unaweza kukisia bila kupitiliza.

Usisahau kushare post hii na watu ambao nao wanahitaji kupunguza uzito wa miili yao ili na wao waweze kupata kwa kuanzia.

Ukishaifata hii meal plan kwa wiki moja hakikisha kuendelea kula healthy ili kuendelee kupungua zaidi hadi ufikie uzito sahihi kwa urefu wako.

POST HIZI SI ZA KUKOSA!

You may also like...

COMMENT