“Mara ya kwanza nilipoanza programu hii nilikuwa na uzito wa kg 120!. Kabla ya hapo nilihangaika sana kujaribu kupunguza uzito lakini nilikuwa nashindwa.
Ndani ya wiki moja tu ya diet hii nilipungua kg 7 na hadi nafikia wiki ya nne nilipunguza jumla kg 13!
Tangu kipindi hicho niliendelea kula vyakula vinavyotajwa kwenye diet na hadi sasa nimefanikiwa kupunguza jumla ya kg 36″