MAZOEZI 5 YA KUPUNGUZA TUMBO HARAKA BILA GYM WALA VIFAA
BONYEZA HAPA KUSOMA MAKALA MPYA YA MAZOEZI 10 YA KUPUNGUZA TUMBO LA CHINI NA VIDEOS!

Leo nimeandaa aina 5 ya mazoezi yanayosaidia kuimarisha misuli ya tumbo na kufanya uweze kupunguza mafuta kwa ufanisi zaidi.
Inashauriwa kufanya angalau seti mbili za mazoezi haya siku 3-4 kwa wiki ikiambatana na kula kiasi na aina ya vyakula ambavyo vitakusaidia kupunguza uzito wa mwili.

Kumbuka kupunguza uzito kunatokana na asilimia 70-80 Diet na 20-30 mazoezi. Kwa hiyo hata ufanye mazoezi kila siku kama haujachukua hatua ya kubadilisha mfumo wako wa kula basi hautapata matokeo unayoyahitaji kupitia mazoezi haya.
ONA JINSI YA KUPIKA VYAKULA VYA WIKI 1 VYA KUPUNGUZA UZITO/TUMBO HARAKA!
nashukuru sana kupata page yenu kuna vitu nimevipata kwa muda mchache huu barikiwa sana
Amen! Asante sana na wewe kwa kuja kujifunza hapa. Karibu tena na tena!