AINA KUU ZA DIET ZA KUPUNGUZA UZITO.
SOMA HII KABLA HAUJAANZA KUFATA DIET YOYOTE YA KUPUNGUZA MWILI!
SOMA HII KABLA HAUJAANZA KUFATA DIET YOYOTE YA KUPUNGUZA MWILI!
Sehemu hii ya pili ni muhimu kwako kama umewahi kupatwa na tatizo hili la kuongezeka uzito kila baada ya kupungua. Ukifata dondoo hizi basi kuwa na uhakika kuwa hautakuja kupata shida ya kuongezeka uzito kila baada ya kupungua
Baada ya kupunguza uzito mwili wako automatically utaanza kukulazimu kula chakula kingi ili kulipizia virutubisho vilivyokosa wakati unafata aina hizi za diet kwa hiyo kukufanya kurudia uzito wako wa kawaida
Ndani ya wiki sita mwili wako utakuwa umepiga hatua kubwa kuelekea kurudi kwenye saizi yake ya mwanzo! Usikose kufanya mazoezi kwa kufuatilia mlolongo wa kwenye kitabu
Hizi ni zile bia zilizopunguzwa kiasi cha kileo na wanga kwa ajili ya watu ambao wanataka kupunguza kiasi cha pombe wanachotumia aU uzito wa mwili. Calories zake ni chini ya 100 na wanga kidogo hivyo unaweza kutumia bila kuharibu diet…
Baada ya kuona jinsi bia zinavyotengenezwa kupitia sehemu ya kwanza sasa utatambua kwanini bia hudhaniwa kusababisha kuongezeka kwa unene wa mwili hasa tumbo. Bonyeza HAPA kama umekosa sehemu ya kwanza. BIA ZINASABABISHAJE KUONGEZEKA UZITO?...
Ni jambo linaloaminiwa na watu wengi dunia nzima kuwa unywaji wa bia ndiyo unaosababisha kuongezeka kwa ukubwa wa tumbo hasa kwa wanaume. Lakini je kuna ukweli wowote katika madai haya? Bia ina kitu ndani yake ambacho husababisha kuongezeka kwa mafuta tumboni?.
Zipo njia ambazo ni rahisi tu zinazoweza kukupa nafasi ya kuwa na mwanzo mzuri katika safari yako ya kupunguza uzito. Kama lengo lako ni kupunguza uzito wa kilo 20 basi kilo 8 kati ya hizo zitapungua kupitia wewe kufata style hii ya kuongeza lita hizi za maji na kuzigawa mara tatu kila siku!.
Tafadhali soma hii makala kabla haujaaamua kununua dawa yoyote ya kupunguza uzito hasa slimming tea. Kwa kawaida dawa hizi ni mchanganyiko wa sehemu za mimea mbali mbali ambazo zinaweza kutumika kama majani ya chai….
Link za tafiti za kisayansi zimeandikwa kwa mfumo wa namba 1-6 Detox water ni maji ya kunywa ambayo hutengeneza kwa kuloweka vipande vya matunda, mboga mboga, majani ya miti shamba au viungo vya kupikia...
COMMENTS MPYA!